ENGLISH
SWAHILI
Staff Mail
Maswali yaulizwayo mara kwa mara
Wasiliana nasi
BIDHAA ZA NGUVU
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Kilimo
BODI YA NAFAKA NA MAZAO MCHANGANYIKO(CPB)
Mwanzo
Kuhusu Sisi
Historia Yetu
Sisi ni Nani
Dhima na Dira
Utawala
Kazi za Bodi
Muundo wa Taasisi
Menejimenti ya Bodi
Huduma na Bidhaa
Huduma
Masoko
Bidhaa
Uchapishaji
Sheria
Miongozo
Ripoti
Kanda na Vituo vya Biashara
Kanda ya Kaskazini
Kanda ya Mashariki
Kanda ya Nyanda za Juu Kusini
Kanda ya Kati
Kanda ya Ziwa
Kituo cha Habari
Taarifa kwa Umma
Maktaba ya Video
Maktaba ya Picha
Hotuba
Miradi
Miradi inayoendelea
Miradi iliyokamilika
Miradi inayotarajiwa kutekelezwa
Operesheni
Ununuzi wa Mazao
Uzalishaji wa Bidhaa
Usimamizi wa Maghala
Mauzo
Staff Mail
Maswali yaulizwayo mara kwa mara
Wasiliana nasi
BIDHAA ZA NGUVU
Huduma Zetu
Huduma za Ugani
CPB hutoa huduma za ugani kwa wakulima wa alizeti, ngano, mtama mweupe na maharage ya soya, kupitia mikataba ya ukulima inayoingiwa kati ya CPB na wakulima hao katika mikoa ya Dodoma, Arusha, na Songea.
Kurudisha kwa Jamii
CPB ina kiwango cha uwajibikaji sio tu kwa matokeo ya kiuchumi ya shughuli zetu, lakini pia kwa athari za kijamii na mazingira. Kwa kawaida tunajumuisha masuala ya kijamii na kimazingira katika shughuli zetu za biashara, ili kuleta athari chanya kwa mazingira na washikadau ikiwa ni pamoja na watumiaji, wafanyakazi, wawekezaji, jumuiya na wengine. Juhudi zetu ni kuchangia ukuaji wa sifa ya chapa yetu na kuongeza mahusiano chanya ya umma kwa kuwa kurudisha kwa jamii kunaunganishwa katika muundo wa biashara, ili kuchangia faida ya CPB.
Huduma ya Uhifadhi wa Mazao
CPB ina maghala yenye uwezo wa kuhifadhi tani 100,000 kwa wakati mmoja,yaliyopo Arusha,Mwanza,Dodoma na Iringa.
Usagishaji wa Mazao ya Nafaka
Huduma hii inatolewa na viwanda vilivyopo Iringa,Dodoma na Arusha.
‹
1
2
›