CPB IMEFUNGA MIKATABA YA KIBIASHARA KATIKA HITIMISHO LA MAONESHO YA 46 YA BIASHARA (SABASABA) 2022
Mkurugenzi Mkuu wa CPB Dkt. Anselm P. Moshi (wa kwanza kulia) akiweka saini mikataba ya kibiashara ya kuuza na kununua, mbele ya mgeni rasmi wa hitimisho la maonesho ya 46 ya biashara kimataifa (sabasaba) Dkt.Philip Isdor Mpango.