CPB IMEINGIA MAKUBALIANO YA KIMKATABA YA KUFANYA BIASHARA NA KAMPUNI YA TWIGA FOODS LIMITED ILIYOPO NCHINI KENYA.
Dkt. Anselm Patrick Moshi (kushoto) akipeana mkono na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Twiga Foods Limited ya Kenya Bw. Yebeltal Getachew. Baada ya kusaini mkataba wa kuuza nafaka zinazotoka Tanzania katika Soko la Kenya.