SHUKRANI: BW. ANDREW WILSON MASSAWE

SHUKRANI: BW. ANDREW WILSON MASSAWE Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB), Tunashukuru kwa Utumishi Wako Uliotukuka. Tutayaenzi Mema Uliyotuachia. Tunakutakia Kila la Kheri.