KIKAO CHA PILI CHA BODI YA WAKURUGENZI KILICHOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 25 FEBRUARY, 2023.
Ikiongozwa na Mwenyekiti Wake Bwana Salum Awadh Hagan, Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB) Iliendesha Kikao Chake Cha Pili Tarehe 25 Februari Jijini Dar Es Salaam, Kujadili Maswala Mbalimbali.