WAZIRI WA KILIMO, MHE. HUSSEIN BASHE AMEZINDUA BODI YA WAKURUGENZI YA BODI YA NAFAKA NA MAZAO MCHANGANYIKO LEO TAREHE 21 SEPTEMBA 2022

WAZIRI WA KILIMO, MHE. HUSSEIN BASHE AMEZINDUA BODI YA WAKURUGENZI YA BODI YA NAFAKA NA MAZAO MCHANGANYIKO LEO TAREHE 21 SEPTEMBA 2022 Mhe. Waziri amewaeleza matarajio mapana ya serikali kupitia uteuzi wao na kuwataka kuleta mabadiliko chanya ndani ya CPB kwa kuzingatia utaalam walionao.